Tuesday, June 28, 2011

KAGAME-CASTLE CUP,BUNAMWAYA (UGANDA) VS ELMAN (SOMALIA)



 Kikosi cha Elman ya Somalia
 Kikosi cha Bunamwaya ya Uganda
 Mshambuliaji wa timu ya Bunamwaya ya kule nchini Uganda,Odur Tonny (10) akiruka juu kumkwepa Beki wa timu ya Elman ya Somalia,Mohamed Hassan (12) katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Taifa wa Jijini Dar es Salaam leo.Mpaka kipenga cha mwisho kinalia Bunamwaya ilikuwa ikiongoza kwa bao 4-0.
 Mchezaji wa Bunamwaya,Kisaliita Ayub (kushoto) akichuana vikali na beki wa Elman,Badri Ahmed wakati wa mchezo wa CECAFA Kagame-Castle Cup uliochezwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar jioni ya leo.

Ubao wa Matokoe unavyoonyesha mara baada ya dakika tisini kumalizika.
Patashika Langoni mwa Elman ya Somalia.
Sehemu ya Mashabiki wachache waliofika katika uwanja wa Taifa jijini Dar,jioni ya leo.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
The Official Blog of Tanzania Football Federation