Saturday, May 7, 2011

RAIS WA TFF MGENI RASMI VODACOM MUUNGANO CUP IRINGA


Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga (mwenye track suti nyeusi ) akiwa na viongozi wa Kombe la muungano Mufindi na wadhamini wa mashindano hayo Voda Com pamoja na wachezaji wa Young Star leo uwanja wa shule ya msingi Igowole baada ya kuzindua mashindano ya Vodacom Muungano Cup
Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga akisalimiana na viongozi wa timu ya MuCoba Fc
mashabiki wa Voda Com Muungano Cup wakifuatilia mchezo kati ya Zamaleck na VETA Iringa mchezo uliomalizika kwa Zamaleck kutoka na ushindi wa goli 6-1 dhidi ya VETA
Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga akiwa na wachezaji wa Mucoba FC
DJ KWASA akiwa kazini katika uwanja wa shule ya Msingi Igowole katika mashindano ya Voda Com Muungano Cup

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
The Official Blog of Tanzania Football Federation