Rais wa TFF Leodegar Chilla Tenga akiwa na kocha mkuu wa Taifa Stars Jan Poulsen kwenye hafla ya uzinduzi wa mpango wa Tanzania Tourism Unites Against Malaria katika hoteli ya Movenpik jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo. Picha na John Bukuku wa Full Shangwe
0 comments:
Post a Comment