
Wachezaji wa timu ya mkoa wa Tanga na timu ya taifa ya vijana ,U-23 wakisalimiana kabla ya mchezo wao kuanza.Timu ya U-23 a.k.a vijana wa Julio waliibuka kidedea kwa kuifunga Tanga mabao 3-1.

Mchezo kati ya Kilimanjaro worrios na Mount Meru worrios ukiendelea.Timu ya Mount Meru Worrios ya Arusha iliifunga timu ya mkoa wa Kilimanjaro mabao 3 kwa 0.

Wachezaji wa timu ya mkoa wa Arusha wakimsikiliza kocha wakati wa mapumziko.

Wachezaji wa timu ya soka ya mkoa wa Kilimanjaro wakimsikiliza kocha wao Abdalah Chuma wakati wa mapumziko.

Mashabiki wa timu ya mkoa wa Kilimanjaro wakifuatilia pambano dhidi ya timu ya mkoa wa Arusha.Picha na Dixon Busagaga -Globu ya Jamii.
Posted in:
0 comments:
Post a Comment