Nahodha wa Simba Old boys Abubakar Kombo akiongea na waandishi huku nahodha wa Yanga Old Boys Bakari Malima 'Jembe Ulaya' akisubiri zamu wakati wakinadi sera zao kabla ya mchezo
Afisa Habari wa TFF Boniface Wambura (shoto) akimkabidhi jezi Afisa habari wa Simba Clifford Ndimbo
Afisa Habari wa Yanga Sendeu akipokea jezi toka kwa Afisa Habari wa TFF Boniface Wambura
Posted in:
0 comments:
Post a Comment