Tuesday, March 22, 2011

TIMU YA JAMHURI YA AFRIKA YA KATI YAWASILI NCHINI

Kikosi cha Jamhuri ya Afrika ya Kati

Timu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati tayari imewasili nchini kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la Mataifa ya Afrika (CAN) dhidi ya Taifa Stars itakayochezwa Machi 26 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kuanzia saa 10 kamili jioni.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
The Official Blog of Tanzania Football Federation