Tuesday, March 8, 2011

TBL yaipiga jeki TASWA

Meneja Uhusiano na Mawasiliano ya Umma wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Editha Mushi (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya sh. milioni nane Mwenyekiti Wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (Taswa), Juma Pinto Dar es Salaam lwo kwa ajili ya tamasha la vyombo vya habari Jumamosi wiki hii, ambapo TBL imedhamini kwa sh. milioni 50.Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa TASWA, Maulid Kitenge.

0 comments:

Post a Comment

Twitter Delicious Facebook Digg Stumbleupon Favorites More

 
The Official Blog of Tanzania Football Federation