KWA HESHIMA NA TAADHIMA TFF INAPENDA KUKARIBISHA WADAU WOTE WA SOKA NCHINI NA NJE YA NCHI KWENYE BLOG HII RASMI YA SHIRIKISHO.
HII NI HATUA YA KWANZA YA KUJIWEKA KARIBU KWA WADAU WOTE WAPENDA SOKA, AMBAPO HATUA INAYOFUATA MUDA SI MREFU UJAO NI KUWA NA TOVUTI YA KIMATAIFA ITAKAYOKIDHI MATAKWA YA HABARI KWA WADAU.
HATUA HII IMEJITOKEZA KWA JUHUDI ZA TIMU MPYA YA UONGOZI WA TFF CHINI YA RAIS WAKE LEODEGAR CHILA TENGA, AKISAIDIWA NA KATIBU MKUU ANGETILE OSIAH, MKURUGENZI WA MASOKO JIMMY KABWE, MKURUGENZI WA UTAWALA MTEMI RAMADHANI, MKURUGENZI WA UFUNDI SUNDAY KAYUNI NA AFISA WA HABARI, BONIFACE WAMBURA PAMOJA NA WOTE WALIO KATIKA UONGOZI WA TFF.
NI MATUMAINI YETU TUTAPATA KILA AINA YA USHIRIKIANO IKIWA NI PAMOJA NA KUPOKEA KILA AINA YA MAONI YENYE NIA YA KUJENGA.
0 comments:
Post a Comment